Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Afisa Wa Polisi Auawa Na Kwa Kudungwa Kisu Na Wahalifu, Mombasa.

OCPD wa kisauni Sangura Musee amethibitisha kuuawa kwa afisa mmoja wa polisi baada ya kudungwa kisu na wahalifu katika eneo la Kisauni jana jioni. Akiongea na waandishi wa habari, sangura amesema aliyetekeleza uhalifu huo ni mwanamume aliyeuwawa na polisi kwa kupigwa risasi huku polisi wakiendelea kuwasaka wahalifu wengine walifanikiwa kutoroka. Amesema wamepata taarifa hiyo kutoka …...

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Wednesday, 13 June, 2018