Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

COTU yapinga pendekezo la kuwa na mwakilishi mmoja katika bima ya NHIF

Muungano wa wafanyikazi nchini COTU umepinga pendekezo la kuwa na mwakilishi mmoja pekee katika bodi ya bima ya afya nchini NHIF. Akifika mbele ya kamati ya bunge kuhusu afya, katibu mkuu wa COTU Francis Atwoli amekosoa marekebisho yanayopendekezwa kwenye sheria kuhusu NHIF ili kutekeleza mabadiliko hayo. Atwoli anataka COTU kupewa nafasi nne kati ya kumi …...

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Thursday, 14 June, 2018