Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Familia 1 Murang’a yalilia haki baada ya wanawao 2 kugongwa na kuwawa na gari la kibinafsi

Familia moja kijiji cha Muototo, huko Kahumbu kaunti ya Murang’a inalilia haki baada ya wanawao wawili kugongwa na kuwawa na gari la kibinafsi kwenye barabara ya Sabasaba-Githembe.Ni  baada ya aliyetekeleza ajali hiyo kuachiliwa huru kwa dhamana ya shilingi elfu 20 familia ikihofia huenda haki ikakosa kutendeka.Inaarifiwa wakati wa kisa hicho dereva huyo wa gari aina …

The post Familia 1 Murang’a yalilia haki baada ya wanawao 2 kugongwa na kuwawa na gari la kibinafsi appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Wednesday, 10 October, 2018