Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Idara ya polisi yawaachisha kazi zaidi ya maafisa 400 wa polisi

Idara ya polisi imewatema zaidi ya maafisa 400 kutoka vitengo mbali mbali vya polisi baada yao kufeli katika msasa uliokamilika juma jana. Mwenyekiti wa tume ya huduma za polisi Johnston kavuludi anasema waliotemwa hawajaafikia maadili na wengi walikosa kuelezea walikotoa utajiri wao. Akizungumza kaunti ya Uasin Gishu, Kavuludi aidha amezindua msasa utakaoendeshwa kwa wakuu wa ...

The post Idara ya polisi yawaachisha kazi zaidi ya maafisa 400 wa polisi appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Monday, 12 March, 2018