Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Jaji wa mahakama ya mazingira na ardhi Samuel Mukunya afariki

Jaji wa mahakama ya mazingira na ardhi Samuel Mukunya amefariki.Mukunya anadaiwa kufariki baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani eneo la Embassy kwenye barabara kuu ya Nyeri kueleke Nyahururu.Jaji mkuu David Maraga amemtaja mwendazake kama jaji shupavu na ambaye mchango wake utakosekana pakubwa katika idara ya mahakama.

The post Jaji wa mahakama ya mazingira na ardhi Samuel Mukunya afariki appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Friday, 14 September