Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Jamii Ya Wamakonde Yadai Kukabiliwa Na Changamoto Za Ardhi

Jamii ya wamakonde   huko makongeni  , Msambweni kaunti ya kwale  ambao walipata uraia wa Kenya hivi majuzi  sasa wanaiomba serikali kuwasaidia kupata umiliki wa ardhi katika sehemu wanamoishi. Mwenyekiti  wa  jamii hiyo Thomas   Nguli, anadai wamekuwa wakipokea vitisho vya kuwataka kuondoka maeneo hayo, hali ambayo anasema imezua  wasiwasi miongoni mwao. Ameitaka   serikali ya kitaifa ...

The post Jamii Ya Wamakonde Yadai Kukabiliwa Na Changamoto Za Ardhi appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Friday, 12 January, 2018