Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Kesi ya kupinga uchaguzi wa gavana Anne Waiguru yatupiliwa mbali

Anne Waiguru atasalia kuwa gavana wa Kirinyaga. Hii ni baada ya Jaji Lucy Gitari kuamuru uchaguzi wa Waiguru ulikuwa huru. Gitari vilelevile amepuzilia mbali madai ya utoaji hongo yaliomkabili Waiguru. Ni kesi iliyowasilishwa na aliyekuwa mpinzani wake Martha Karua ambaye ametakiwa kumlipa Waiguru na tume ya IEBC shilingi milioni 5. Hata hivyo Karua anasema atakata …...

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Thursday, 14 June