Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Maafisa wa trafiki kuendesha misako dhidi ya madereva walevi wikendi hii

Maafisa wa trafiki wataendesha misako dhidi ya madereva walevi katika maeneo mbali mbali wikendi hii. Inspekta jenerali Joseph Boinnet amewaonya wanaonuia kukiuka sheria baada ya kufurushwa barabarani maafisa wa NTSA. Boinet anasema maafisa wake watazidi kushirikiana na wale wa NTSA ili kudumisha usalama barabarani. Kadhalika amekanusha kuwepo mtafaruku baina ya maafisa wake na NTSA hali ...

The post Maafisa wa trafiki kuendesha misako dhidi ya madereva walevi wikendi hii appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Friday, 12 January, 2018