Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Maduka mengi Nairobi yatii agizo la serikali kupunguza bei ya unga wa ugali

Maduka mengi ya jumla hapa Nairobi yametii agizo la serikali kupunguza unga wa ugali kwa shilingi 75 kwa kilo 2.Akiongoza oparesheni ya kufuatilia utekelezaji agizo hilo mkuu wa utoaji leseni Nairobi Michael Akoko anasema wameridhishwa na jinsi maduka mengi ya jumla yameanza kutekeleza agilo hilo lilitolewa na rais Uhuru Kenyatta mbali na waziri wa kilimo …

The post Maduka mengi Nairobi yatii agizo la serikali kupunguza bei ya unga wa ugali appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Thursday, 11 October, 2018