Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Mahakama yamwagiza afisa mkuu wa IEBC Ezra Chiloba kurejea afisini

Mahakama ya kiviwanda imemwagiza afisa mkuu wa tume ya IEBC Ezra Chiloba kurejea afisini. Jaji Stephen Radido amemtaka Chiloba kuendelea kuhudumu katika wadhfa wake huku kesi aliowasilisha kupinga uamuzi wa mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati kumpa likizo ya lazima ya miezi mitatu ikiendelea kusikizwa. Chebukati alimwagiza Chiloba kuondoka afisini mwezi Aprili mwaka huu kuruhusu uchunguzi …...

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Thursday, 14 June, 2018