Matiangi aagiza ukaguzi wa wawekezaji wa kigeni

Kenya inazidai kampuni za kamari jumla ya shilingi bilioni 26. Ni kutokana na hili ambapo sasa waziri wa usalama wa taifa dkt Fred Matiangi ameagiza ukaguzi wa wawekezaji wote wa kigeni walioko nchini. Matiangi anasema baadhi ya wawekezaji hao wamekwepa kulipa ushuru. Kadhalika anasema licha ya kujihusisha na biashara ambazo hawajaidhinishwa,imekuwa vigumu kuwaandama  kutokana na …

The post Matiangi aagiza ukaguzi wa wawekezaji wa kigeni appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

Published By: k24tv. - Monday, 20 May