Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Mbadi amshinikiza rais kutia saini sheria ya kuahirisha ushuru kwa bidhaa za mafuta

Kiongozi wa wachache bungeni John Mbadi sasa anamshinikiza rais Uhuru Kenyatta kutia saini sheria ya kuahirisha kwa muda wa miaka 2 utekelezwaji wa ushuru wa asilimia 16 kwa bidhaa za mafuta.Katika mahojiano na Milele Fm Mbadi anasema iwapo hilo halitoafikiwa basi watalazimika kuandaa mkao wa wabunge wa upinzani kushinikiza kuandaliwa mkao wa bunge upesi ili …...

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Tuesday, 11 September