Mbunge wa Sirisia John Waluke apatikana na hatia ya kuhusika na kashfa ya mahindi

Mbunge wa Sirisia John Waluke amepatikana na hatia ya kuhusika na kashfa ya mahindi ambapo alipookea zaidi ya shilingi 300 milioni kutoka kwa bodi ya kitaifa ya nafaka na mazao (NCPB). Ni baada ya upande wa mashtaka kudhibitisha waluke pamoja na washtakiwa wengine Grace Wakhungu na kampuni ya Erad walipokea pesa za umma kwa njia …

The post Mbunge wa Sirisia John Waluke apatikana na hatia ya kuhusika na kashfa ya mahindi appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

Published By: k24tv. - Monday, 20 May