Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

MCA 6, Makueni wakamatwa kwa kumzuia mwalimu mkuu

Polisi wanawazuilia wawakilishi wadi 6 wanaodaiwa kumzuia mwalimu mkuu mpya aliyehamishiwa shule ya wasichana ya St Josephs, huko Kibwezi Makueni, kuingia shule hiyo. Ni baad ya kuzuka vurumai alasiri ya leo katika shule hiyo viongozi hao wakisema hawatakubali kuhamishwa mwalimu mkuu wa shule hiyo kwani amechangia matokeo mazuri. Haya yanajiir huku katibu katika wizara ya ...

The post MCA 6, Makueni wakamatwa kwa kumzuia mwalimu mkuu appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Thursday, 11 January, 2018