Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Miguna apuuzilia mbali hatua ya Gavana Sonko kumpendekeza kama naibu wake

Wakili Miguna Miguna amepuzilia mbali hatua ya gavana Mike Sonko wa Nairobi kumpendekeza kama naibu gavana wake. Miguna ametaja uteuzi huo kama ulio na nia fiche, ingawa hajasema iwapo atakubali au la. Msimamo wake unakujia viongozi wa chama cha Jubilee hapa Nairobi pia wakimksoa gavana Sonko. Kiongozi wa wengi adai Duale awali amesema Sonko hakushauriana …

The post Miguna apuuzilia mbali hatua ya Gavana Sonko kumpendekeza kama naibu wake appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Thursday, 17 May