Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Miguna Miguna hatarejea nchini kama ilivyotarajiwa

Wakili na mwanaharakati Miguna Miguna hatarejea nchini leo kama ilivyotarajiwa. Katika taarifa Miguna anasema ameahirisha ujio huo akiishutumu idara ya uhamiaji kwa kudinda kumkabidhi pasipoti yake kama ilivyoagiza mahakama. Miguna pia amewaagiza mawakili wake hapa kurejea mahakamani kulalamikia kile anadai ni hatua ya serikali kuendelea kupuuza maagizo ya mahakama

The post Miguna Miguna hatarejea nchini kama ilivyotarajiwa appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Wednesday, 16 May