Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Mlinzi Wa Naibu Rais Afariki Katika Ajali Ya Barabarani Nairobi

Mlinzi mmoja wa naibu wa rais William Ruto ameripotiwa kufariki kwenye ajali ya barabarani jijini Nairobi. Kulingana na taarifa kwenye vyombo vya habari, inaarifiwa mlinzi huyo ambaye ni miongoni mwa walinzi maalum wanaotumia pikipiki alifariki kwenye ajali katika barabara ya Wangari Mathai jijini Nairobi, baada ya kupoteza mwelekeo wa pikipiki yake. Hata hivyo kufikia sasa ...

The post Mlinzi Wa Naibu Rais Afariki Katika Ajali Ya Barabarani Nairobi appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Saturday, 13 January, 2018