Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Mshukiwa anayedaiwa kuwa kiongozi wa kundi la wakali kwanza auwawa na polisi Mombasa

Polisi huko Mombasa wamempiga risasi mshukiwa anayedaiwa kuwa kiongozi wa kundi linalojita wakali kwanza. Afisa mkuu wa polisi Kisauni Sunguna Musee mshukiwa huyo kwa jina Jilo amepigwa risasi katika eneo la swalihina kisauni alipojaribu kuwavamia wachuuzi waliokuwa wakielekea kwenye soko la kongowea. Polisi wangali wanaendesha msako dhidi ya washukiwa wawili waliofanikiwa kutoweka.

The post Mshukiwa anayedaiwa kuwa kiongozi wa kundi la wakali kwanza auwawa na polisi Mombasa appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Tuesday, 13 March, 2018