Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Mtoto wa miaka 11 ajitoa uhai Kigumo kaunti ya Muranga

Mtoto wa miaka 11 amejitoa uhai huko Kigumo kaunti ya Muranga baada ya mzozo wa kinyumbani. Inadaiwa kijana huyo alizozana na binamuye kuhusiana na matumzi ya kitenda mbali yaani Remote control. Chifu wa Iriguini Mburu Gitau anasema uchunguzi unaendelea....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Monday, 9 July