Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Mtu 1 ajeruhiwa kwenye makabiliano na polisi wakati wa maandamano ya NASA Nairobi

Mtu mmoja aanuguza majeraha baada ya kujeruhiwa kwenye makabiliano ya polisi na wafuasi wa NASA waliokuwa wakiandamana kuelekea kati kati mwa jiji la Nairobi. Inadaiwa alikanyagwa pale polisi waliporusha vitoa machozi kuwatawanya waandamanaji hao. Mbunge wa Dagorett kaskazini ameshtumu polisi kwa kuingilia kati maandamano hayo anayodai ni ya amani akisema hawatatishwa na polisi. Nao seneta ...

The post Mtu 1 ajeruhiwa kwenye makabiliano na polisi wakati wa maandamano ya NASA Nairobi appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Wednesday, 11 October, 2017