Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Nelson Githinji aondolewa lawana za matumizi mabaya ya pesa za umma

Aliyekuwa mkurugenzi wa NYS Nelson Githinji ameondolewa lawama kuhusiana na matumizi mabaya ya pesa za umma. Mahakama inasema kuwa hakukuwa na ushahidi wakutosha kudhibitisha alitumia vibaya shilingi elfu 477,355 kama alivyodai mkurugenzi wa mashtaka ya umma Keriako Tobiko.

The post Nelson Githinji aondolewa lawana za matumizi mabaya ya pesa za umma appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Wednesday, 6 December, 2017