Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Noordin Haji apendekezwa na rais kuwa mkurugenzi wa mashtaka ya umma

Rais Uhuru Kenyatta amewasilisha jina la Noordin Mohamed Haji kwa bunge kupigwa msasa ili kuhudumu kama mkurugenzi wa mashtaka ya umma. Rais amependekeza jina la Haji kutoka kwa orodha ya wakenya watatu waliopendekezwa na jopo lililowahoji wakenya 10 waliotuma maombi ya kuteuliwa kwenye wadhfa huo. Wengine waliopendekezwa na jopo hilo lake Elizabeth Muli ni Lucy ...

The post Noordin Haji apendekezwa na rais kuwa mkurugenzi wa mashtaka ya umma appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Tuesday, 13 March, 2018