Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Noordin Mohammed Ateuliwa Na Rail Kuwa Mkurugenzi Wa Mashtaka Ya Umma.

Rais Uhuru Kenyatta amewasilisha jina la Noordin Mohammed Haji kwa bunge kupigwa msasa ili kuhudumu kama mkurugenzi wa mashtaka ya umma. Rais amependekeza jina la Haji kutoka kwa orodha ya wakenya watatu waliopendekezwa na jopo lililowahoji wakenya 10 waliotuma maombi ya kuteuliwa kwenye wadhfa huo. Pia amewasilisha jina la jaji Paul Kihara Kariuki bungeni kupigwa ...

The post Noordin Mohammed Ateuliwa Na Rail Kuwa Mkurugenzi Wa Mashtaka Ya Umma. appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Tuesday, 13 March, 2018