Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Owino :Jiandae kuheshimu sheria za trafiki lau sivyo utakabiliwa kisheria

Jiandae kuheshimu sheria za trafiki lau sivyo utakabiliwa kisheria. Ndilo onyo la idara ya polisi siku moja baada ya maafisa wa NTSA kufurushwa barabarani. Huku akikana kuchochea hatua hiyo,msemaji wa polisi Charles Owino anasema watashirikiana na NTSA kuhakikisha usalama wa kila mkenya barabarani unadumishwa kando na kubuni sera maalum. Wamiliki wa matatu nao wameunga mkono ...

The post Owino :Jiandae kuheshimu sheria za trafiki lau sivyo utakabiliwa kisheria appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Wednesday, 10 January, 2018