Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Polisi 2 wanaohusishwa na mauaji ya Janet Waiyaki katika bustani ya City Park Washtakiwa

Polisi wawili wanaodaiwa kumpiga risasi na kumuua mwanamke mmoja katika bustani ya City Park hapa Nairobi mwezi uliopita wameshtakiwa hii leo. Maafisa hao William Kipkorir Chirchir na Godfrey Kipgetich Kirui wamekana mashtaka ya kumuua Janet Waiyaki na kumjeruhi mwanamme aliyekua naye ndani ya gari Benerd Chege.Chirchir anayehudumu katika kituo cha polisi cha Makadara na Kirui …

The post Polisi 2 wanaohusishwa na mauaji ya Janet Waiyaki katika bustani ya City Park Washtakiwa appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Monday, 11 June, 2018