Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Raila asema ushirikiano wake na ule wa rais Kenyatta utaendelea

Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga anasema ushirikiano wake na ule wa rais Uhuru Kenyatta utaendelea.Akiongea katika maizishi ya aliyekuwa mwanamziki maarufu wa nyimbo za Kikuyu Joseph Kamaru huko Muranga, amesema juhudi za kuunganisha wakenya lazima iungwe mkono na wakenya wote.Siasa za maji zimeibuka kwenye mazishi ya mwendazake Kamaru, baadhi ya viongozi ambao wamezungumza …

The post Raila asema ushirikiano wake na ule wa rais Kenyatta utaendelea appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Thursday, 11 October, 2018