Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Rufaa ya kupinga ushindi wa gavana Sonko yatupiliwa mbali

Gavana Mike Sonko wa Nairobi atasalia afisini. Hii ni baada ya rufaa iliyowasilishwa na naibu mkurugenzi wa chama cha ODM kuhusu masuala ya kampeini dr Noah Akala kutupiliwa mbali. Akala alikwua amefika mahakamani kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa kumruhusu Sonko kuendelea kuhudumu baada ya kesi iliyokuwa imewasilishwa na wakenya wawili wakitaka uchaguzi wake kubatilishwa …

The post Rufaa ya kupinga ushindi wa gavana Sonko yatupiliwa mbali appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Monday, 16 April, 2018