Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Serikali Ya Kaunti Ya Kwale Yaombwa Kuboresha Mazingira Katika Kaunti Hiyo

Changamoto imetolewa  kwa  Serikali ya kaunti ya kwale kupitia wizara ya afya   kuboresha  mazingira  ya hospitali kuu   mjini  humo, hiyo ikiwa  njia mojawapo ya kukabiliana na maradhi yanayotokana na mazingira chafu. Wakaazi mjini humo, wanalalamikia kuwepo kwa barabara yenye mashimo inayoingia hospitalini humo, kuzagaa kwa maji chafu  langoni mwa hospitali hiyo , vyoo vichafu pamoja ...

The post Serikali Ya Kaunti Ya Kwale Yaombwa Kuboresha Mazingira Katika Kaunti Hiyo appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Saturday, 13 January, 2018