Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Shinikizo zatolewa kwa IEBC kuvunjwa na makamishna wapya kuteuliwa

Tume ya uchaghuzi na mipaka inapaswa kuvunjwa mara moja na makamishna wapya kuteuliwa. Mbunge wa Muhoroni James Koyo na mwakilishi akina mama laikipia Cate Waruguru wamesema baada ya kujiuzulu makamishna watatu leo, ni bayana kuna tatizo katika tume hiyo. Wamemtaka mwenyekiti Wafula Chebukati pamoja na makamishna waliosalia kujiondoa kuruhusu kundi lingine jipya kuchukua usukani. Pia …

The post Shinikizo zatolewa kwa IEBC kuvunjwa na makamishna wapya kuteuliwa appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Monday, 16 April, 2018