Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Takriban wahanga 700 wa marufiko wanaugua Kipindupindu na maradhi ya ngozi Tana River

Takriban wahanga 700 wa mafuriko huko Tanariver wanaugua ugonjwa wa kipindupindu na maradhi ya ngozi. Shirika la msalaba mwekundu linasema 242 wanahara na kutapika huku 265 wakiugua mambukizi ya ngozi. Shirika hilo linasema kaunti ya Tanariver ndio ina idadi kubwa zaidi ya waathiriwa wa mafuriko ikiwa na zaidi ya kambi 5. Noellah Musundi kutoka shirika …

The post Takriban wahanga 700 wa marufiko wanaugua Kipindupindu na maradhi ya ngozi Tana River appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Thursday, 17 May, 2018