Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Tobiko :Hakuna pengo ninaloacha katika afisi ya mkuu wa mashtaka ya umma

Hakuna pengo ninaloacha katika afisi ya mkuu wa mashtaka ya umma. Kauli yake Keriako Tobiko ambaye ameondokarasmi kutokakwenye hatamu hivi leo. Akizungumza kaitka hafla ya kumuaga, Tobiko ambaye amependekezwa na rais kuhudumu katika baraza la mawaziri, amesema ana imani na utendakazi wa wafanyikazi waliok aktika afisi hiyo.

The post Tobiko :Hakuna pengo ninaloacha katika afisi ya mkuu wa mashtaka ya umma appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Thursday, 11 January, 2018