Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Visa 39 vya mikasa ya moto shuleni vimeshuhudiwa nchini kufikia sasa

Visa 39 vya mikasa ya moto shuleni vimeshuhudiwa nchini kufikia sasa. Akifika mbele ya wabunge katibu wa elimu Dr Belio Kipsang anasema wanafunzi 142 wamekamatwa kufuatia matukio hayo. Anasema wote hao wanawasaidia maafisa wa usalama na uchunguzi. Aidha anasema wizara hiyo inaunga mkono kuchukuliwa hatua za kisheria wahusika wa matukio hayo. Kipsang pia amepinga shinikizo …...

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Thursday, 12 July