Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Wabunge Wa ODM Waunga Mkono Azimio La Raila Kuunganisha Wakenya.

Viongozi wa chama cha ODM wamekutana na kukubaliana kuunga mkono azimio la Raila Odinga  kushirikiana na serikali katika kuunganisha taifa la kenya. Akiongea kwa niaba ya viongozi wa chama cha ODM mbunge wa Suna Mashariki Junet Mohammed amemtaka Raila Odinga kutumia  ushirikiano  wake na raisi  Uhuru Kenyatta kutafuta haki ya wote walioathirika na machafuko ya ...

The post Wabunge Wa ODM Waunga Mkono Azimio La Raila Kuunganisha Wakenya. appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Tuesday, 13 March, 2018