Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Wakaazi Wa Mwatate Watarajiwa Kupokea Hatimiliki Za Mashamba yao

Huenda wakaazi wa mtaa wa Mwatate kata ya Chaani gatuzi dogo la Changamwe kaunti ya Mombasa wakanufaika na mradi Kenya Informal Settlement Improvement Project (KISIP) wenye malengo ya kuboresha mtaa huo wa makazi duni. Akiongea na wanahabari mzee wa mtaa Andrew Angusi amesema mradi huo utawasaidia pakubwa ikizingatiwa kwamba kutawekwa miundo msingi bora na nyumba ...

The post Wakaazi Wa Mwatate Watarajiwa Kupokea Hatimiliki Za Mashamba yao appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Sunday, 14 January, 2018