Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Watu 107 waliohusishwa na kisa cha ubakaji Moi Girls waondolewa lawama baada ya uchunguzi wa DNA

Uchunguzi wa DNA umewaondolewa lawama watu 107 waliohusishwa na kisa cha kubakwa mwanafunzi katika shule ya upili ya wasichana ya Moi Girls Nairobi. Mkuu wa kitengo cha jinai Nairobi Nicholus Kamwende ameomba utulivu wakati uhcunguzi huo ukiendelea ili kuwakamata wahusika. Walimu pamoja na wafanyakazi wengine wakiume katika shule hiyo ni miongoni mwa waliofanyiwa uchunguzi huo …...

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Wednesday, 11 July, 2018