Sign up, start voting on articles and create your own news feeds! | Login | Create a free account

Watu 14 wakamatwa kufuatia maandamano ya NASA Homabay

Watu 14 wamekamatwa kufuatia maandamano ya NASA huko Homabay. Mshirikishi wa kanda ya Nyanza Wilson Njenga anasema 14 hao walikamatwa kufuatia maandamano ya NASA huko Homabay hapo jana na wanaendelea kuchunguzwa. Hatua hii nakujia saa chache tu baada ya waziri wa masuala ya ndani dkt Fred Matiangi kupiga marufuku maandamano katikati mwa miji ya Nairobi, ...

The post Watu 14 wakamatwa kufuatia maandamano ya NASA Homabay appeared first on Mediamax Network Limited....

read more...

comments powered by Disqus

Published By: k24tv. - Thursday, 12 October, 2017